Back to home

Wakaazi wa Kajiado walalamikia kukosa huduma ya maji

video
June 30, 2025
2 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kaunti ya Kajiado inaendelea kukumbwa na changamoto kubwa ya uhaba wa maji, hali inayozidi kuwaathiri wakazi wa maeneo mbalimbali hususan vijijini. Kwa miezi kadhaa sasa, familia nyingi katika maaeneo ya kajiado kusini yamekuwa yakilazimika kutembea mwendo mrefu kutafuta maji..