Back to home

Wakaazi walalamikia hatari ya daraja la mkanda Kwale

video
June 30, 2025
2 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakazi wa Lukore na Kichakasimba katika wodi ya Kubo South katika kaunti ya Kwale wamelalamikia ubovu wa daraja la Mkanda 1 katika barabara ya Mkongani kuelekea Shimba Hills. Mianya kwenye Daraja hilo ambalo liko katika hatari ya kuporomoka imezibwa kwa simiti na kokoto bila vyum..