Back to homeWatch Original
Uasin Gishu: Watoto watatu wapoteza maisha yao baada ya choo cha shule kuporomoka na kuzama nao
video
July 10, 2025
2w ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Watoto watatu wamepoteza maisha yao baada ya choo cha shule kuporomoka na kuzama nao katika shule ya msingi ya Queen of Angels mission school, eneo bunge Turbo, kaunti ya Uasin Gishu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyan..