Back to homeWatch Original
Watu watano waliuawa kwa risasi maandamano wengine 40 bado watibiwa KNH
video
July 10, 2025
1mo ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Upasuaji wa maiti ya waathiriwa watano wa maandamano ya saba saba umeonyesha kwamba walifariki kwa majeraha ya risasi. Aidha, risasi mbili zimepatikana kwenye miili ya waathiriwa wawili Paul Makori na Anthony Maina waliopigwa risasi na maafisa wa polisi eneo la Kangemi na Kahawa ..