Back to homeWatch Original
Polisi Klinzy Barasa kushtakiwa kwa mauaji ya mchuuzi Kariuki
video
July 10, 2025
8 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mkurugenzi wa mashtaka ya umma ameidhinisha mashtaka ya mauaji dhidi ya afisa wa polisi Klinzy Baraza Masinde, kwa kumpiga risasi na kumuua mchuuzi wa maski Boniface Kariuki jijini Nairobi..