Back to home

Naibu Gavana wa Kaunti ya Kericho,Fred Kirui ataka uchunguzi wa malipo hewa

video
July 11, 2025
12 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Naibu Gavana wa Kaunti ya Kericho,Fred Kirui, ametaka uchunguzi wa haraka kufanywa kuhusu madai ya malipo hewa ya takriban shilingi milioni 80 yaliyolipwa kwa wakandarasi na wasambazaji bidhaa. Kirui, ambaye kwa muda sasa amekuwa na mvutano na Gavana Erick Mutai alidai kuwa fedha..