Back to home

Omtatah alaani ongezeko la chuki za kikabila

video
July 12, 2025
about 7 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Seneta wa Buais Okiya Omtatah amelaani vikali ongezeko la chuki za kikabila zinazoendelezwa na baadhi ya viongozi nchini. Omtatah anaonya kuwa semi za viongozi zinahatarisha ushikamano wa kitaifa na zinaweza kulirudisha taifa kwenye makovu ya uchaguzi wa 2007. Omtatah amepuuzilia..