Raila atetea pendekezo la mazungumzo
About this video
Kinara wa ODM Raila Odinga ametetea pendekezo la kufanyika kwa mazungumzo ya kitaifa, akisema ndio njia ya pekee ya kuhakikisha amani humu nchini. Akizungumza katika kaunti ya Bomet, raila aliyeambatana na viongozi wengine wanaounga mkono serikali alikashifu vikali aliyekuwa naib..