Back to homeWatch Original
Kauli ya Rais Ruto: wandani wake watetea agizo kwa polisi kuwafyatulia risasi waandamanaji mguuni
video
July 14, 2025
about 19 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Wandani wa Rais William Ruto kutoka kaskazini mwa Bonde la Ufa wamejitokeza kumtetea kufuatia kauli yake tata ya kuamuru polisi kuwafyatulia risasi waandamanaji wanaoharibu biashara. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans...