Back to home

Wananchi wataka KNHCR kupewa mamlaka ya kushtaki polisi

video
July 16, 2025
about 7 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kufuatia ongezeko la visa vya mauaji ya Vijana kila wanapotokea mijini kuandamana, na takwimu za waliopoteza maisha kukinzana na zile rasmi za serikali, ombi limetolewa la kuipa tume ya Kitaifa ya kutetea haki za binadamu mamlaka ya kuwashtaki washukiwa wanaotekeleza mauaji hayo..