Back to home

Wakulima wa MakuenI, KituI, Embu, Tharaka Nithi wafunzwa

video
July 16, 2025
about 8 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakulima zaidi ya 400 kutoka kaunti za Makueni, Kitui, Embu na Tharaka Nithi wanaendelea kupokea mafunzo ya kilimo endelevu na njia mbalimbali za kuendesha ukulima wa kisasa unaoweza kustahimili mabadiliko ya tabia nchi na kuwaletea wakulima mazao mengi..