Back to home

Kizaazaa mahakamani Thika

video
July 16, 2025
about 18 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kizaazaa kilishuhudiwa nje ya mahakama ya Thika baada ya watu 58 walioshtakiwa kwa kuhusika kwenye vurugu na uporaji wakati wa maandamano ya saba saba kuagizwa kulipa dhamana ya shillingi laki moja kila mmoja. Familia zao zilipokea habari hizo kwa mihemko na kutatiza shughuli mah..