Back to homeWatch Original
ukarabati wahitajika barabara kuu ya lamu-witu-garsen
video
July 17, 2025
1 day ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Viongozi wa kaunti ya Lamu wameshinikiza serikali kupitia Wizara ya Barabara nchini Kenya kuifanyia ukarabati barabara kuu ya Lamu witu na Garsen iliyojaa mashimo mengi yanayohatarisha usalama wa Lamu na pia kutatiza shughuli za bandari ya Lamu...