Back to home

Viongozi wa Mlima Kenya walaani maandamano

video
July 17, 2025
about 7 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wabunge kutoka eneo la Mlima Kenya wanaounga serikali wamekashifu machafuko na uharibifu wa mali yaliyoshuhduiwa eneo hilo katika maandamano ya saba saba wakidai kwamba machafuko hayo yalichochewa na cheche za siasa potovu kutoka kwa baadhi ya viongozi. Wabunge hao wamewarai waka..