Back to homeWatch Original
Familia ya DJ Goodie, aliyedaiwa kuuawa na askari wa KDF, yalalamikia kucheleweshwa kwa haki
video
July 17, 2025
about 8 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Familia ya mcheza santuri Salim Moriasi, maarufu kama DJ Goodie, aliyedaiwa kuuawa na askari wa Jeshi la Kenya (KDF), Tonny Atieno mwaka wa 2022 katika hoteli moja eneo la Mariakani, Kaunti ya Kilifi, inalalamikia kucheleweshwa kwa haki na kile wanachokitaja kama juhudi za kufich..