Back to homeWatch Original
Huzuni ilitanda Karumandi, Kirinyaga baada ya mume kudaiwa kumuua mkewe kabla ya kujitia kitanzi
video
July 19, 2025
1 day ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Hali ya huzuni ilitanda Katika Kijiji cha Gikumbo, Karumandi, Kaunti ya Kirinyaga, kufuatia kifo cha mme na mkewe katika hali tatatinshi. Inadaiwa kuwa mume aliimuuwa mkewe kabla ya kujitia kitanzi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday ..