Back to home

Serikali yasambaza miche 400,000 ya chai Kericho na Bomet

video
July 21, 2025
4 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Serikali imesambaza miche 400,000 ya chai ya kiwango cha juu kwa wakulima wadogo katika kaunti za Kericho na Bomet kama sehemu ya mkakati mpana wa kufufua sekta ya chai na kuongeza tija kwa wakulima..