Back to homeWatch Original
Wakenya washauriwa kujiunga na mashirika ya kijamii ili kujiendeleza
video
July 21, 2025
1 day ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wakenya kutoka matabaka tofauti wameshauriwa kujiunga na mashirika ya kijamii kama njia mojawapo ya kukabili ugumu wa maisha hususan nyakati za majanga. Wakizungumza mjini Kisii , wadau kutoka mashirika mbalimbali wamewarai wakenya kuiga umoja wa shirika moja mjini Kisii ambalo l..