The suspect is under investigation for two hospital murders...
Continue Reading on Kenyans
Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa anasema yeye ndiye anafaa kupeperusha bendera ya urais ya upinzani katika uchaguzi wa mwaka 2027.
Wizara ya afya kupitia bodi ya KMPDC imeamrisha kufungwa mara moja kwa hospitali 120 katika kaunti ya Kisii. Hii ni kutokana na ukaguzi uliofichua kuwa hospitali hizo hazikuwa zimefikia viwango vilivyowekwa. Hayo yanajiri wiki chache baada ya oparesheni sawia kufanyika katika kau
Washukiwa 11 waliokamatwa na maafisa wa upelelezi katika kijiji cha Binzaro eneo la Shakahola walifikishwa katika mahakama ya Malindi na kushtakiwa mbele ya hakimu mwandamizi Joy Wesonga.
#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews š“ LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube ā your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyon
The prime suspect in the death of Benard Mwangi, who was found dead in his hospital bed at the Kenyatta National Hospital, has been arraigned in court.