Back to home

Watu 11 wafikishwa Mahakamani huko Kilifi wachunguzwa kwa madai ya mauaji kijijini Binzaro

video
July 21, 2025
about 11 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Washukiwa 11 waliokamatwa na maafisa wa upelelezi katika kijiji cha Binzaro eneo la Shakahola walifikishwa katika mahakama ya Malindi na kushtakiwa mbele ya hakimu mwandamizi Joy Wesonga...