Back to homeWatch Original
Wakaazi wa Migori wahangaika kupata maji safi kwa muda mrefu
video
July 22, 2025
3 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Maji safi ya matumizi kwa wakaazi katika kaunti ya Migori yamekuwa na changamoto si haba. Hali ambayo imesababisha mkurupuko wa Magonjwa kama kipindupindu ambayo yanaenezwa kupitia matumizi ya maji chafu..