Back to home

Baadhi ya viongozi wa kisiasa waisifu serikali ya Kenya Kwanza

video
July 22, 2025
about 12 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Baadhi ya viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Busia wameendelea kutetea uamuzi wao wa kuiunga mkono serikali ya kitaifa wakitaja miradi kadhaa ya maendeleo iliyoanzishwa katika kaunti hiyo na serikali kuu..