Back to homeWatch Original
Wawakilishi wadi wamkemea gavana kwa kutowajibikia maendeleo
video
July 23, 2025
1w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Baadhi ya wawakilishi wadi katika kaunti ya busia wamejitokeza kulalamikia utepetevu katika utekelezaji wa miradi ya serikali ya kaunti katika wadi zao wakimlaumu gavana wa kaunti hiyo paul otuoma kwa kufumbia macho miradi muhimu mashinani..