Back to home

Waziri Kipchumba Murkomen asisistiza kuwa uharibifu wa mali wakati wa maandamano ni ugaidi

video
July 23, 2025
2 days ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen ameshambulia chama cha mawakili nchini LSK, wanaharakati na wanasiasa wa upinzani kwa kusimama na washukiwa wanaokabiliwa na mashtaka ya ugaidi kutokana na uharibifu wa mali wakati wa maandamano Subscribe and watch NTV Kenya live fo..