Back to homeWatch Original
Harambee Stars yarejea mazoezini kujitayarisha kwa mechi dhidi ya Kongo Agosti 3
video
July 23, 2025
1 day ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Kocha wa timu ya taifa ya kandanda Harambee stars Benni Mccarthy anasema timu hiyo ilifanya uamuzi wa pamoja kujiondoa kwenye mashindano ya mataifa manne ya CECAFA ambayo yanaendelea nchini Tanzania...