Back to homeWatch Original
Msafara wa M-Pesa sokoni wazuru mlima Kenya kuadhimisha miaka 18 ya huduma
video
July 23, 2025
1 day ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Msafara wa mpesa sokoni umezidi kupamba moto katika ukanda wa mlima kenya, katika shamrashamra za kuadhimisha miaka 18 tangu kuzindiliwa kwa huduma za mpesa nchini. Safaricom inatumia fursa hii kuhamasisha umma kuhusu mbinu mbalimbali za kujiendeleza kiuchumi. Msafara huu unafani..