Back to home

Harambee Stars yatangaza kikosi cha CHAN chenye wachezaji 14 wa ndani

video
July 24, 2025
1 day ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Washambulizi Masoud Juma na Felix Oluoch wamejumuishwa katika kikosi cha Harambee stars cha Chan kilichotajwa Jumatano na kocha Benni McCarthy. Juma amesajiliwa hivi punde na timu ya Migori youth ya ligi ya daraja la pili huku Oluoch akichezea posta rangers...