Back to home

Mahakama yaamuru kukamatwa kwa afisa aliyechunguza kesi ya mama na bintiye waliofia Feri 2019

video
July 24, 2025
2 days ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mahakama huko Mombasa imetoa amri ya kukamatwa kwa afisa aliyechunguza kesi kuhusu ajali ya mwaka 2019 ambapo mama na bintiye waliangamia kivukoni Feri baada ya gari lao kutumbukia baharini Hindi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as to..