Back to homeWatch Original
Raila asema si lazima kufanywe usajili mwengine tofauti na IEBC
video
July 24, 2025
1 day ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Pendekezo la Kiongozi wa ODM Raila Odinga la kutumia vitambulisho vya kitaifa kuwaruhusu wananchi kupiga kura badala ya kufanya usajili mwingine tofauti wa IEBC, linaonekana kupata uungwaji mkono wa haraka kutoka kwa washikadau, ambao wanasema kando na kuepuka mchakato mrefu, una..