Back to home

Paul Mackenzie adaiwakuhusika na itikadi kali mpya

video
July 25, 2025
about 21 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakili wa mhubiri tata Paul Mackenzie, Lawrence Obonyo amekana kuwa mteja wake anahusika na kueneza itikadi kali akiwa gerezani kwa kuwapigia simu wafuasi wake walioko nje. Haya yanajiri huku baadhi ya familia zilizowapoteza wapendwa wao shakahola kutaka majibu kuhusu hatma ya ja..