Back to homeWatch Original
Msafara wa M-Pesa Sokoni waelekea kaunti ya Kitui, kuanzia Jumamosi
video
July 25, 2025
about 20 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Msafara wa MPESA Sokoni umezunguka Mlima Kenya na kuhitimisha ziara ya siku tano mjini Mwea. Safaricom, imeshirikiana na Kampuni ya Royal Media Services, kufanikisha ziara hii ya kukutana na wateja wake katika shamrashamra za kuadhimisha miaka 18 ya mafanikio ya MPESA nchini. Jum..