Back to homeWatch Original
Hospitali ya Chiromo Braeside yafungwa kufuatia kifo cha daktari Susan Njoki
video
July 26, 2025
13h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Kufuatia kifo cha daktari, Susan Kamengere Njoki, mwanzilishi wa Toto Touch Baraza la Madaktari na Madaktari wa Meno nchini – KMPDC – jana liliagiza Hospitali ya Chiromo Braeside saa 24 kuhamisha wagonjwa wote na kusitisha huduma zote za matibabu. Subscribe and watch NTV K..