Back to homeWatch Original
Makazi ya watoto Kisii yafungwa kufuatia kesi ua tuhuma za unajisi
video
July 26, 2025
13h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Serikali imefunga nyumba ya watoto yatima ijulikanayo kama St. Peter's Rigena Orthodox kufuati kesi ya tuhuma za unajisi inayosemekana kuhusisha mmiliki wa nyumba hiyo na mtoto mwenye umri mdogo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as tol..