Back to home

Ladha ya amani yarejea Kerio baada ya miaka ya machafuko

video
July 27, 2025
4d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kwa miongo kadhaa, bonde la Kerio limekuwa na tatizo ya ukosefu wa usalama uliosababisha vifo na hata wakaazi kupoteza mali na makao yao. Wezi wa mifugo kwa miaka walitawala vijiji na kutatiza kabisa maisha na hata shughuli za masomo. Hata hivyo, kwa miaka miwili sasa, hali imeon..