Back to homeWatch Original
EACC yawachunguza wawakilishi wadi sita wa Bungoma
video
July 28, 2025
1mo ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) inachunguza sakata ya mamilioni ya pesa inayodaiwa kuwahusisha wawakilishi wadi sita wa Bunge la Kaunti ya Bungoma. Wawakilishi wadi hao wanadaiwa kushirikiana ili kupata zabuni za miradi ya ujenzi katika wadi zao kupitia kampuni zin..