Back to home

Msafara waingia eneo la nyanza kuanzia Migori

video
July 28, 2025
3d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Msafara wa MPESA sokoni umeingia Maeneo ya nyanza kwa shamrashamra za sherehe ya miaka 18 ya huduma za MPESA nchini. Watangazaji wa radio citizen na ramogi fm, stesheni zinazomilikwa na kampuni ya royal media services, wamebeba ujumbe wa Mpesa sokoni. Kampuni ya safaricom imeshir..