Back to homeWatch Original
Mbunge wa Kajiado Kusini ataka bajeti ya elimu iongezwe
video
July 29, 2025
4d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mbunge wa Kajiado kusini Sakimba Parashina amewataka wenzake katika bunge la Kitaifa kutenga fedha zaidi kwenye bajeti ya ziada ijayo ili kusaidia wizara ya elimu kutosheleza mahitaji ya kufadhili elimu ya bure..