Back to home

Polisi 2 walio patikana na hatia ya mauaji ya Dennis Lusava kufungwa miaka 35 kila mmoja

video
July 29, 2025
1d ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Maafisa wawili wa polisi walio patikana na hatia ya mauaji ya Dennis Lusava katika kituo cha polisi cha Mbururu eneo bunge la Likuyani, Kaunti ya Kakamega na kisha kuutupa mwili wake katika Mto Nzoia mwaka 2020, wamehukumiwa kifungo cha miaka 35 kila mmoja. Subscribe to NTV Keny..