Back to homeWatch Original
Wafugaji Nyandarua waboresha uzalishaji kwa lishe za kisasa
video
July 30, 2025
21h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wafugaji wa ng'ombe wa maziwa kaunti ya Nyandarua wanatumia lishe za kisasa kwa mifugo kama njia ya kuongeza uzalishaji wa maziwa na kupunguza gharama ya uzalishaji. Kwa miaka mingi, malisho duni yamekuwa kikwazo kikuu. Lakini sasa, mafunzo bora na kilimo cha lishe za kisasa yana..