Back to home

Mkewe Rais azindua kisima cha maji shuleni unoa makueni

video
July 31, 2025
23h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mke wa Rais Rachel Ruto amesema ipo haja ya shule kuwekeza katika mashamba madogo madogo ili kukabiliana na njaa na ukosefu wa chakula nchini na hususan kwa watoto. Rachael Ruto aliyasema hayo akizuru shule ya msingi ya unoa kaunti ya Makueni kuzindua uchimbaji wa kisima katika s..