Back to homeWatch Original
Wafanyakazi wa kunadhifisha jiji kuu kupewa ajira ya kudumu
video
July 31, 2025
23h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Bodi ya huduma za umma nairobi imeanza kuwahoji wafanyakazi 4,065 wa green army kwa lengo la kuwathibitisha kwenye ajira za kudumu na zenye pensheni...