Back to homeWatch Original
Joy Millers yatoa msaada kwa wanafunzi walemavu Ruiru
video
July 31, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wanafunzi wenye mahitaji maalum katika shule ya Msingi ya Githunguri, iliyoko Ruiru, kaunti ya Kiambu, wamepokea msaada kutoka kwa Joy Millers, watengenezaji wa unga wa kupika wa Kavagara...