Back to home

Maafisa wanne wa Polisi waepuka kifungo, waamriwa kuwalisha wafungwa

video
July 31, 2025
21h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

MAAFISA WANNE WA POLISI WALIOKOSA KUFIKA MAHAKAMANI KUTOA USHAHIDI DHIDI YA AFISA MWENZAO AHMED RASHID WAMEEPUKA KIFUNGO CHA MIEZI MITATU BAADA YA MAHAKAMA KUPUNGUZA ADHABU HIYO. HATA HIVYO, MAHAKAMA IMEWAAGIZA WAWALISHE WAFUNGWA NA WATU WENGINE WALIOKUWEPO MAHAKAMANI. WILLY LUSI..