Back to home

Uhaba wa walimu maalum wasababisha wanafunzi walio na changamoto ya kutosikia kukosa elimu

video
July 31, 2025
1d ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Uhaba wa walimu maalum wa kuwafunza wanafunzi walio na changamoto ya kutosikia umechangia idadi kubwa ya wanafunzi hao kukosa elimu huku ongezeko la idadi ya wanafunzi wa aina hii nchini ukiwapa wasiwasi washikadau na watetezi wa watoto hao Subscribe to NTV Kenya channel for lat..