Back to homeWatch Original
Mzozo wa uongozi kanisani Methodist
video
August 1, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mvutano mkali wa uongozi umezuka katika Kanisa la Methodist Kenya huku Askofu Mkuu Isaya Deye akilalamikia njama za kumwondoa ofisini kinyume cha sheria na katiba ya kanisa hilo. Deye amesema kuwa baadhi ya viongozi wa zamani walivamia ofisi yake licha ya amri ya mahakama kuzuia,..