Back to homeWatch Original
Miradi yakwama Samburu
video
August 1, 2025
1mo ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Viongozi wa kaunti ya Samburu wameirai serikali,kutoa fedha zote kwa wanakandarasi ili kuwaezesha kukamilisha miradi mbalimbali wanayotekeleza, kama vile miradi ya ujenzi wa barabara ambayo wananchi wamekuwa wakikosoa kuwa inajikokota..