Back to homeWatch Original
Maraga awakashifu wanaoendeleza michango
video
August 1, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Aliyekuwa jaji mkuu David Maraga amewakashifu viongozi wa serikali kwa kujihusisha na michango ya kiholela akisema kuwa pesa zinazosambazwa ni mali ya wizi. Maraga, ambaye anaazimia kugombea urais kwenye uchaguzi wa mwaka wa 2027, amewasihi wakenya kutohadaiwa na viongozi hao amb..