Back to home

Kindiki atetea mpango wa mgao wa elimu wa serikali

video
August 2, 2025
4h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Naibu Rais Kithure Kindiki ametetea mpango wa mgao wa elimu wa serikali, akisisitiza kuwa utawala wa Kenya Kwanza umejitolea kuhakikisha kuwa wanafunzi wote wanapata msaada wa kifedha unaohitajika, na hakuna mwanafunzi anayenyimwa fursa ya kusoma kwa kukosa karo. Subscribe and w..