Back to home

Maandalizi ya lala salama kwa dimba la CHAN

video
August 2, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakenya wanasubiri kwa hamu kushabikia timu ya taifa Harambee Stars itakapoingia uwanjani kwa mechi ya kwanza ya dimba la CHAN katika uwanja wa kitaifa Kasarani, Nairobi. Aidha, matayarisho yamekamilika nchini kabla ya mechi za makundi na mchujo zitakazochezwa hapa nchini. Seth O..