Back to homeWatch Original
Zambia yawasili nchini kwa ajili ya michuano ya CHAN
video
August 3, 2025
5h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
ZAMBIA AMBAO WALITARAJIWA KUWASILI JUMANNE WALIBADILISHA MIPANGO YAO KUTOKANA NA KUTOKUWA NA MECHI SIKU ZA KWANZA ZA MCHUANO HUO. CHIPOLOPOLO KAMA WANAVYOFAHAMIKA WAKO KUNDI A PAMOJA NA HARAMBEE STARS YA KENYA, MOROCCO, ANGOLA NA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO..